Safari ya ngozi yenye afya inaanza na utunzaji sahihi!
Dr. Ngozi·18 Nov 2026
Mteja wetu ameamua kuanza safari yake ya utunzaji wa ngozi ya uso kwa kutumia kifurushi chetu kamili chenye bidhaa nne muhimu:
- Cleanser – Kusafisha uso.
- Serum – Kwa utunzaji wa ngozi.
- Face Cream – Kwa kulainisha ngozi.
- Sunscreen – Kwa kulinda ngozi dhidi ya miale ya jua.
Tunafurahi kuwa sehemu ya safari yake ya skincare! Tunamtakia kila la heri katika kufuata utaratibu wake wa utunzaji wa ngozi.
Dr Ngozi Africa – Tunajali Ngozi Yako
Comments (0)
Related articles

Skin Care
Dr. Ngozi·20 Nov 2026Matokeo chanya ya Graviola Gelly
GRAVIOLA JELLY – Utunzaji wa Ngozi Yako!
2 · 1 min readRead more →

Skin Care
Dr. Ngozi·18 Nov 2026Ushuhuda mwingine kutoka kwa mteja wetu wa Visunzua!
Ushuhuda mwingine kutoka kwa mteja wetu wa Visunzua!
4 · 1 min readRead more →

Skin Care
Dr. Ngozi·18 Nov 2026Hazard ametushirikisha taarifa njema ya shukrani
Kuridhika kwa mteja wetu ni furaha yetu! Hazard anatuthibitishia kuwa huduma yetu imekuwa ya kuridhisha na anaendelea vizuri. Asante kwa kutuamini Dr Ngozi Africa!
5 · 1 min readRead more →